HATUA TANO ZA KUELEKEA KWENYE UKOMBOZI.
LUKA 19:1-10.Kwamaombi maalum ya Mzee mwenye hekima Teophilo Injili ya Luka iliandikwa.Luka alikua msomi mzuri ,aliandika vitabu viwili,ambavyo ni Kitabu cha LUKA MTAKATIFU,na MATENDO YA MITUME.Mzee Theophilo alitaka kujua habari za YESU,alitaka kujua huyu YESU ni mtu wa aina gani,alitaka kujua kuzaliwa,kuishi kwake na mengi kuhusu YESU.<usemi>watu wapo ili waseme watu.Hatua hizo tano ni 1,kusikia-Zakayo alisikia habari za Yesu kashuka. 2.Kuchukua hatua- Zakayo aliposikia wito ule aliamua kushuka. 3.Kushuka na kujikana. 4Kumkaribisha YESU moyoni. 5.Kutengeneza.MUNGU akubariki amina.
MAHUBILI KANISA LA KKKT KARIAKOO IBADA YA MORNING GLORY SAA 12.00-7.00 ASUBUHI.
UJUMBE NI KANUNI YA KULA UFE -TOA UISH
Sadaka inasababisha Baraka ya muda mrefu.aliendelea kusema ,aipendae nafsi yake ameipoteza na aitoaye nafsi yake ameipata.Wapeni watu vitu,bora kutoa kuliko kupokea.
1wafalme 17:12. 1Wafalme 17:17-24.
KUMTEGEMEA MUNGU TUTASHINDA MAJARIBU
. ISAYA 43.1b-4. mwandishi wa kitabu hiki ni nabii ISAYA mwenyewe.Kazi ya nabii ni nini? Nikubeba ujumbe wa MUNGU kwa TAIFA.Neno linasema kua USIOGOPE, neno hili limeandikwa mara 365 ambayo nisawasawa na mwaka mmoja.Hii ina maana gani?YESU KRISTO alijua kua Duniani kuna dhiki,na kila unapo amka neno USIOGOPE lipo kukutia moyo wewe mkristo ambaye unaweza kuamka huku ukiwa umekata tamaa.Mpendwa nakutia moyo kua USIOGOPE
.
No comments:
Post a Comment