SNOW ANIMATION

MADAM RUTH Header

RM STAR ADVERT

RM STAR Horizontal Banner

MATANGAZO

MATANGAZO

Saturday, December 1, 2012

KONGAMANO KUBWA LA MAOMBI YA KUFUNGULIWA.

Kongamano lililokuwa likiendeshwa katika kanisa la O H M nyuma ya Ubungo Plaza.Mama huyu akifanyiwa maombi na MUNGU amemfungua kutoka katika vifungo vya jini mahaba,ambavyo vilikua vimemfunga uzazi.pia mama huyu amefunguliwa tatizo la uvimbe tumboni.Hakika YESU anaponya.
Maombi na maombezi haya yalifanywa na mtume LONAR NKUNDA kutoka Zambia, na mwenyeji wake akiwa ni Prosper Ntepa.
 

Katika kongamano hilo,muimbaji wa kimataifa Madam Ruti Mwamfupe na Chriss Ahaz walihudumu kwa nyimbo tatu mfululizo,wimbo wa kwanza ulikua ni AMENIBAMBA YESU,huu uliombwa na mchungaji LONAR NKUNDA wa Zambia.2 ni JANA IMEPITA ulioombwa na waumini wote wa OHM DSM
na 3ulikuwa ni AMENENA MWENYEWE ulioomba na PROSPER NTEPA. barikiwa

SEMINA YA NENO LA MUNGU AKUZAM IPS POSTA MPYA

Mchungaji kiongozi wa huduma ya Akuzam International,akihubili katika semina ambazo zinafanyika kila mwisho wa mwezi.

Muimbaji wa kimataifa,Madam Ruti Mwamfupe, akimshukuru MUNGU baada ya kumaliza kuimba wimbo wake uuitwao Jana Imepita ambao alishirikiana vema na mtumishi wa MUNGU CHRISS AHAZ.katika kanisa la AKUZAM INTERNATIONAL pale Posta mpya jijini DSM.

Friday, November 30, 2012

SIRAHA POPOTE.....

Siraha hizi hazitoshi kutulinda,bali sisi siraha zetu ni Maombi maana vita vyetu si vya dam na nyama .

HAKUNA JIPYA CHINI YA JUA

Haya yote Mfalme Suleiman aliyaona kua ni ubatili mtupu na kujiisha upepo.

3

WIMBI ZITO LATANDA NDANI YA WASANII

Mama yake Shalo millionea akiomboleza juu ya msiba wa mwanae.R. I. P. SHALOOOOO
 

DUNIA INAELEKEA WAPI SASA!!
Kweli nimeamini uchungu wa mwana aujua mamae,anachokitenda huyu Baba hata mnyama hauwezi kukifanya,Wanadamu TUOKOKE.

URAFIKI HUO!

Urafiki wa wanadam na wanyama unapofikia hapa.............Ikiwa mwanadamu anaweza kupatana na mnyama kwa kiasi hiki,si zaidi ya mwanadamu kwa mwanadamu

USISUMBUKIE MAISHA.

Huna haja ya kuhamishia maisha yako barabarani,YESU anatoa maisha.

Sunday, November 25, 2012

MAHAFALI CHUO CHA IFM DSM


Suzan aliye vaa joho baada ya kutunukiwa stashahada yake,afanya sherehe kubwa nyumbani kwao

Friday, November 23, 2012

MAHAFALI YA 47 YA CHUO CHA CBE

Mwenyekiti Donick [katiakati] kutoka kushoto akiwa na Priscilla,Mrs Donick,Tumaini Mlyuka,Chriss Ahaz

MAHAFALI YA CHUO CHA CBE DSM

Kiukweli siku hii ilikua ya furaha sana kwa bwana Donick.
Hapa alikua na muimbaji mahili wa nyimbo za Injili bwana Chriss Ahaz wa Amenibamba Family.
nadhani mtupio huu hata Donick hajauelewa.

MAHAFALI YA CHUO CHA CBE

Mtumishi wa MUNGU Bishop DONICK MWAKATOBE akiwa na KISWIGO MWAKATOBE wa katikati baada ya kutunukiwa Shahada zao.

Tuesday, November 13, 2012

KONGAMANO KUBWA EAGT CITY CENTER.

UMATI MKUBWA WA WATU WAKIMSHANGILIA MUNGU.

PASTOR F.J KATUNZI AKISUBILIA KUPANDA KUJWAANI KUHUBILI.

KONGAMANO EAGT CITY CENTER NA F .J . KATUNZI.

Mtangazaji wa Wapo FM akiwa na muimbaji wa kimataifa Madam Ruti Mwamfupe wakiwa katika viwanja vya PTA Sabasaba.

Silas Mbise mtangazaji wa Wapo FM akiwa na mtoto wa Madam Ruti Mwamfupe katika kongamano.

Monday, November 12, 2012

LAST BORN TAKE IT ALL.

Mahubili yaliyochukua wahubili wawili kwakupokezana kwa wakati mmoja.Anasema mzaliwa wa mwisho anachukua vyote,haijalishi ni nani amekutangulia kwakua wewe ulipendwa na YESU mwenyewe, hao walio kutangulia utawakuta.
GENESIS 37:1
 

JUKWAA HILI LILIBEBA WAIMBAJI WENGI SANA

JUKWAA HILI LILIKANYAGWA NA WAIMBAJI WAKIMATAIFA WAKIWA NI KAMANYONGA,CHRISTINA MBILINYI,MATHA MWAIPAJA,MADAM RUTI MWAMFUPE NA SOLOMONI MUKUBWA KUTOKA KENYA.

KONGAMANO KUBWA EAGT CITY CENTER.

Madam Ruti Mwamfupe akiwa na Matha Mwaipaja wakipeana mawili matatu wakisubili kupanda jukwaani kwa kutoa huduma.Kwasasa hawa waimbaji wawili wa nyimbo za Injili Tanzania wako juu sana.
 

Sunday, November 11, 2012

HARUSINI.

Family ya Mwamfupe,hawa niwatu wenye upendo hapa walikua kwenye sherehe ya Harusi.
kushoto akiwa ni Madam Ruti Mwamfupe,anaye mfuatia ni Tusa Mwamfupe,anayefuata ni DR Asubisye Mwamfupe anayefuata ni Hobo Mwamfupe,kulia mwisho ni mke wa DR Asubisye Mwamfupe. 

Madam Ruti Mwamfupe muimbaji wa nyimbo za Injili Tanzania kushoto,katikati ni Agnes Milinga na kulia ni mrs Asubisye Mwamfupe.

MADAM RUTI KONA MOJA NA MAIMATHA.

Muimbaji wa muziki wa Injili Madam Ruti Mwamfupe,akiwa na mtangazaji wa TBC1 Maimatha wakijidaliana juu ya huduma ya muimbaji huyu.

UZINDUZI ULIOFANYIKA KANISA LA AKUZAM IPS

Msanii IRINE UWOYA akiwa na rafiki yake katika uzinduzi wa Sarah Mvungi.

Msanii wa Bongo Movie TINO akikabidhiwa mic na MC katika uzinduzi huko IPS.
 

Sarah Mvungi akifanya performance mbele yake wakiwapo wasanii wa Bongo Movies.

UZINDUZI WA SARAH MVUNGI IPS POSTA MPYA.

Madam Ruti Mwamfupe akiwa na Sarah Mvungi,akijiandaa kuingia ukumbini kwa ajili ya kuizindua albam yake.

Thursday, November 8, 2012

THE RAIN HAS CAME.

1 KINGS 18:41-46
Naye Eliya akamwambia Ahabu,Haya inuka ule na unywe kwani pana sauti ya mvua tele.
Aliendelea kusema kuwa mvua inaponyesha nilazima matunda yatokee.Mvua ya baraka ikinyesha juu yako nilazima uzae matunda.Bwana hawezi kukubariki na ukaendelea kubaki kama ulivyo.

AJALI YATOKEA MKOA WA PWANI KIBAHA.

Kijana anayekadiliwa kuwa na umri wa miaka 15 na zaidi amegonga na gari katikati ya barabara na anasadikiwa kuwa hali yake ni mbaya sana. na gari lililomgonga lakimbia.mama wa mtoto alia sana huku nguo zikimvuka.
ajali hii imetokea muda wa saa12:00 mchana.

Wednesday, November 7, 2012

THE FAMINE IS OVER.

Huu ni mfano ambao ulitolewa na muhubili DR LIVINGSTONE kuwa ELIYA aliweka kichwa chake katikati ya miguu na akaomba.Hivyo tunatakiwa kufanya vitu ambavyo sio vyakawaida.
1WAFALME 18:41-45

IBADA YA MORNING GLORY KANISA LA KKKT KARIAKOO.

DR Livingstone kushoto akimtambulisha rafiki yake kutoka Marekani katika ibada ya morning Glory.

waaaaaaaaooooooooh nitakupenda daima na hivi ndivyo nitakavyokua nikifanya.Christabela alisema.

HARUSI

Bwana na bi Christabela IMMA wakikata keki

BONGO YAGEUKA CHINA.

This youngman shows wonders by walking on the wire.this event happened at Lindi &Msimbazi street Kariakoo.



Bishop Edga Mwamfupe,katikati Madam Ruti Mwamfupe kulia ni mke wa Bishop Edga Mwamfupe.

Bishop Edga Mwamfupe akisalimiana na moja ya wageni waalikwa.

Madam Ruti Mwamfupe akiwa na Prisca Mwalugaja katikati na kulia ni mke wa Bishop Edga Mwamfupe.

Madam Ruti Mwamfupe,the Tanzania Gospel Musician,akiwa katika pooooz.

UZINDUZI WA ALBAM JANA IMEPITA

Hii haijawahi tokea,ilikua ni uzinduzi wa albam ya JANA IMEPITA yake Madam Ruti na Chriss katika kanisa la KKKT K/KOO.ilifana saaaana.

Bishop Edga Mwamfupe akiwamiminia shampain, kushoto mke wake akiwa na rafiki zake.

Madam Ruti Mwamfupe akiwa na rafiki yake wa mbele yake,wakimwaga mwaga ukumbini kwenye sherehe ya harusi ukumbi wa Water front.

Huduma ya uchungaji ikiwemo ndani yako, huwezi penda kuona mtu anapungukiwa na kitu.
Hebu mtazame huyu Bishop Edga vile anavyo ifanya huduma hii.

Dereva wa bwana harusi akiwa ameshika chupa ya shampain.

Madam Ruti akiwa na mdau wa albam yake ya Jana imepita,ukumbini wote wafurahi baada ya kuonana humo.

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...