Mama huyu anamshangilia MUNGU pale ambapo JEHOVA alimponya mtoto wake aliye kua kichaa, na sasa mtoto huyo yuko Chuo kikuu,
Amefunguliwa katika ibada ya morning Groly katika kanisa la KKKT Kariakoo.
Njoo ushuhudie matendo makuu ya MUNGU
Mama huyu MUNGU alimponya miguu yake,ilikua imevunjika vunjika kabisa,Siku moja alisikia sauti moyoni mwake kusema kua tupa magongo na ukimbilie madhabahuni.
Alimtii Roho mtakatifu akafanya hivyo na JEHOVA akamponya,.si mahali pengine ni palepale katika kanisa la KKKT Kariakoo,ibada ya morning groly.
Hakika MUNGU anafanya, je unadhani huyu mama atamuacha YESU?kwani kwa uponyaji wa mtoto wake ambao MUNGU amemponya sio rahisi.
Ibada hizi zote zinaendeshwa na MCH; ELIONA KIMARO
No comments:
Post a Comment