SNOW ANIMATION

MADAM RUTH Header

RM STAR ADVERT

RM STAR Horizontal Banner

MATANGAZO

MATANGAZO
Showing posts with label story by Chriss Ahaz. Show all posts
Showing posts with label story by Chriss Ahaz. Show all posts

Saturday, December 1, 2012

SEMINA YA NENO LA MUNGU AKUZAM IPS POSTA MPYA

Mchungaji kiongozi wa huduma ya Akuzam International,akihubili katika semina ambazo zinafanyika kila mwisho wa mwezi.

Muimbaji wa kimataifa,Madam Ruti Mwamfupe, akimshukuru MUNGU baada ya kumaliza kuimba wimbo wake uuitwao Jana Imepita ambao alishirikiana vema na mtumishi wa MUNGU CHRISS AHAZ.katika kanisa la AKUZAM INTERNATIONAL pale Posta mpya jijini DSM.

Sunday, November 25, 2012

MAHAFALI CHUO CHA IFM DSM


Suzan aliye vaa joho baada ya kutunukiwa stashahada yake,afanya sherehe kubwa nyumbani kwao

Friday, November 23, 2012

MAHAFALI YA CHUO CHA CBE DSM

Kiukweli siku hii ilikua ya furaha sana kwa bwana Donick.
Hapa alikua na muimbaji mahili wa nyimbo za Injili bwana Chriss Ahaz wa Amenibamba Family.
nadhani mtupio huu hata Donick hajauelewa.

Monday, November 12, 2012

LAST BORN TAKE IT ALL.

Mahubili yaliyochukua wahubili wawili kwakupokezana kwa wakati mmoja.Anasema mzaliwa wa mwisho anachukua vyote,haijalishi ni nani amekutangulia kwakua wewe ulipendwa na YESU mwenyewe, hao walio kutangulia utawakuta.
GENESIS 37:1
 

JUKWAA HILI LILIBEBA WAIMBAJI WENGI SANA

JUKWAA HILI LILIKANYAGWA NA WAIMBAJI WAKIMATAIFA WAKIWA NI KAMANYONGA,CHRISTINA MBILINYI,MATHA MWAIPAJA,MADAM RUTI MWAMFUPE NA SOLOMONI MUKUBWA KUTOKA KENYA.

KONGAMANO KUBWA EAGT CITY CENTER.

Madam Ruti Mwamfupe akiwa na Matha Mwaipaja wakipeana mawili matatu wakisubili kupanda jukwaani kwa kutoa huduma.Kwasasa hawa waimbaji wawili wa nyimbo za Injili Tanzania wako juu sana.
 

Sunday, November 11, 2012

HARUSINI.

Family ya Mwamfupe,hawa niwatu wenye upendo hapa walikua kwenye sherehe ya Harusi.
kushoto akiwa ni Madam Ruti Mwamfupe,anaye mfuatia ni Tusa Mwamfupe,anayefuata ni DR Asubisye Mwamfupe anayefuata ni Hobo Mwamfupe,kulia mwisho ni mke wa DR Asubisye Mwamfupe. 

Madam Ruti Mwamfupe muimbaji wa nyimbo za Injili Tanzania kushoto,katikati ni Agnes Milinga na kulia ni mrs Asubisye Mwamfupe.

Thursday, November 8, 2012

THE RAIN HAS CAME.

1 KINGS 18:41-46
Naye Eliya akamwambia Ahabu,Haya inuka ule na unywe kwani pana sauti ya mvua tele.
Aliendelea kusema kuwa mvua inaponyesha nilazima matunda yatokee.Mvua ya baraka ikinyesha juu yako nilazima uzae matunda.Bwana hawezi kukubariki na ukaendelea kubaki kama ulivyo.

AJALI YATOKEA MKOA WA PWANI KIBAHA.

Kijana anayekadiliwa kuwa na umri wa miaka 15 na zaidi amegonga na gari katikati ya barabara na anasadikiwa kuwa hali yake ni mbaya sana. na gari lililomgonga lakimbia.mama wa mtoto alia sana huku nguo zikimvuka.
ajali hii imetokea muda wa saa12:00 mchana.

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...