MADAM RUTI MWAMFUPE,muimbaji wa nyimbo za injili nchini TANZANIA,akilakiana na mwanae kipenzi GOODLUCK, eneo la AIRPORT baada ya kushuka kwenye ndege akitokea nchini DUBAI kwa ajili ya kujiandaa na UZINDUZI WA ALBUM YAKE IENDAYO KWA JINA LA JANA IMEPITA.Utakaofanyika Tar 28/10/2012 katika kanisa la K K K T Kariakoo.
Tuzo za kumi na nane, zitatolewa septemba 24, huko Georgia World Congress Center Atlanta,watakao performers for the show are Canton Jones, Sera Hill (NBC's The Voice Season 2) and Corey Webb (Season 1 of BET's Sunday Best) na Elder William Murphy. Pia kutakuwa na Red Carpet Pre-Show, Pastors Reception na Dinner alafu tuzo kutolewa!
Madam Ruti akiwa na kundi zima la AMENIBAMBA FAMMILY,wakihudumu katika KONGAMANO kubwa lililoandaliwa na kanisa la OHM chini ya watumishi wa MUNGU PROSPER NA DEBORA NTEPA.katika ukumbi wa VIP DIAMOND JUBLEE.
Kikosi cha music wa nyimbo za Injil Amenibamba Family chini ya muimbaji wa kimataifa MADAM RUTI ambao wanatamba na nyimbo zao kama vile JANA IMEPITA NA AMENIBAMBA YESU,leo watakua Bagamoyo kwa ajili ya mkutano wa INJILI.
Dada huyu adhalilika baada ya kuvaa nguo zinazomuonyesha nyeti zake katikati ya mji Kariakoo, watu wakasirika sana baada ya kumuona hivyo,wasema kwani wachoshwa na vitendo kama hivi vinavyo fanywa na baadhi ya wadada eti waiga ULAYA.wampigia kelele hadi kupigwa,POLICE wamsaidia.
DOUGLAS PIUS DP wa Praise Power Radio akifanya mahojiano na baadhi ya waandamanaji wa Dini ya Kiislam, maeneo ya POSTA JIJINI DSM walioandamana hadi wizara ya mambo ya ndani,kuonana na waziri wa mambo ya ndani, kuishinikiza Serikali iwaachie Waislam wenzao,waliokamatwa kukataa kujiandikisha wakati wa zoezi la SENSA YA TAIFA.
MADAM RUTI AKIWA NA AMENIBAMBA FAMILY,BAADA YA MAHUBILI, WAKITOA SADAKA YA MICROPHONE MADHABAHUNI, KATIKA KANISA LA MESSIAH PENTEKOSTE TAWI LA MKURANGA DSM.