Kongamano lililokuwa likiendeshwa katika kanisa la O H M nyuma ya Ubungo Plaza.Mama huyu akifanyiwa maombi na MUNGU amemfungua kutoka katika vifungo vya jini mahaba,ambavyo vilikua vimemfunga uzazi.pia mama huyu amefunguliwa tatizo la uvimbe tumboni.Hakika YESU anaponya.
Maombi na maombezi haya yalifanywa na mtume LONAR NKUNDA kutoka Zambia, na mwenyeji wake akiwa ni Prosper Ntepa.
Katika kongamano hilo,muimbaji wa kimataifa Madam Ruti Mwamfupe na Chriss Ahaz walihudumu kwa nyimbo tatu mfululizo,wimbo wa kwanza ulikua ni AMENIBAMBA YESU,huu uliombwa na mchungaji LONAR NKUNDA wa Zambia.2 ni JANA IMEPITA ulioombwa na waumini wote wa OHM DSM