Tunawshukuru Watanzania na wageni rasmi kwa kufanikisha ndoto yetu ya kuzindua album yetu ya Jana Imepita, Mungu wetu na awabariki na awazidishie pale mlipotoa kwa lengo la kuunga mkono huduma hii ya uimbaji. Tunashukuru kanisa kwa kuruhusu kufanya huduma yetu kwa uhuru na amani.
Tunashukuru RUMAFRICA kwa kuweza kututengenezea Tshirts, Posters, Badges na ushauri wako.
MUNGU AWABARIKI SANA.AMENI
mmMadam Ruti akiwa na furaha kutimiza ndoto yake ya uzinduziTunashukuru RUMAFRICA kwa kuweza kututengenezea Tshirts, Posters, Badges na ushauri wako.
MUNGU AWABARIKI SANA.AMENI
Mgeni rasmi, Mbuge John Komba wa tatu kutoka kulia akiangalia zoezi likiendelea
Mbuge John Komba akiwa katika harakati za kuchangisha
NNoel Tenga wa kwanza kushoto akiwa na mgeni rasmi Mbuge John Komba
Watoto wa Madam Ruti wakiwa na furaha kuona mama yao akikamilisha ndoto yake
Mtoto wa Madam Ruti akiwa katika gari la mama yake
Wacheza show wa Madam Ruti wakionyesha Badge iliyotenenezwa na Rumafrica
Wapenzi wa Madam Ruti wakiwa wamevalia Tshirts zilizotengenezwa na Rumafrica
Duka la Madam Ruti. Ukitaka bidhaa kama hizi unaweza kufika Kariakoo katika kituo cha mabasi ya kuelekea Kurasini au Temeke uliza RM Star au duka la Madam Ruti
Chriss akiwa na Madam Ruti
No comments:
Post a Comment