Siraha hizi hazitoshi kutulinda,bali sisi siraha zetu ni Maombi maana vita vyetu si vya dam na nyama .
Friday, November 30, 2012
WIMBI ZITO LATANDA NDANI YA WASANII
Mama yake Shalo millionea akiomboleza juu ya msiba wa mwanae.R. I. P. SHALOOOOO
DUNIA INAELEKEA WAPI SASA!!
Kweli nimeamini uchungu wa mwana aujua mamae,anachokitenda huyu Baba hata mnyama hauwezi kukifanya,Wanadamu TUOKOKE.
URAFIKI HUO!
Sunday, November 25, 2012
Friday, November 23, 2012
MAHAFALI YA 47 YA CHUO CHA CBE
Mwenyekiti Donick [katiakati] kutoka kushoto akiwa na Priscilla,Mrs Donick,Tumaini Mlyuka,Chriss Ahaz
MAHAFALI YA CHUO CHA CBE DSM
Kiukweli siku hii ilikua ya furaha sana kwa bwana Donick.
Hapa alikua na muimbaji mahili wa nyimbo za Injili bwana Chriss Ahaz wa Amenibamba Family.
nadhani mtupio huu hata Donick hajauelewa.
MAHAFALI YA CHUO CHA CBE
Mtumishi wa MUNGU Bishop DONICK MWAKATOBE akiwa na KISWIGO MWAKATOBE wa katikati baada ya kutunukiwa Shahada zao.
Thursday, November 22, 2012
Tuesday, November 13, 2012
KONGAMANO EAGT CITY CENTER NA F .J . KATUNZI.
Mtangazaji wa Wapo FM akiwa na muimbaji wa kimataifa Madam Ruti Mwamfupe wakiwa katika viwanja vya PTA Sabasaba.
Silas Mbise mtangazaji wa Wapo FM akiwa na mtoto wa Madam Ruti Mwamfupe katika kongamano.
Monday, November 12, 2012
LAST BORN TAKE IT ALL.
Mahubili yaliyochukua wahubili wawili kwakupokezana kwa wakati mmoja.Anasema mzaliwa wa mwisho anachukua vyote,haijalishi ni nani amekutangulia kwakua wewe ulipendwa na YESU mwenyewe, hao walio kutangulia utawakuta.
GENESIS 37:1
JUKWAA HILI LILIBEBA WAIMBAJI WENGI SANA
KONGAMANO KUBWA EAGT CITY CENTER.
Madam Ruti Mwamfupe akiwa na Matha Mwaipaja wakipeana mawili matatu wakisubili kupanda jukwaani kwa kutoa huduma.Kwasasa hawa waimbaji wawili wa nyimbo za Injili Tanzania wako juu sana.
Sunday, November 11, 2012
HARUSINI.
Family ya Mwamfupe,hawa niwatu wenye upendo hapa walikua kwenye sherehe ya Harusi.
kushoto akiwa ni Madam Ruti Mwamfupe,anaye mfuatia ni Tusa Mwamfupe,anayefuata ni DR Asubisye Mwamfupe anayefuata ni Hobo Mwamfupe,kulia mwisho ni mke wa DR Asubisye Mwamfupe.
Madam Ruti Mwamfupe muimbaji wa nyimbo za Injili Tanzania kushoto,katikati ni Agnes Milinga na kulia ni mrs Asubisye Mwamfupe.
MADAM RUTI KONA MOJA NA MAIMATHA.
Muimbaji wa muziki wa Injili Madam Ruti Mwamfupe,akiwa na mtangazaji wa TBC1 Maimatha wakijidaliana juu ya huduma ya muimbaji huyu.
UZINDUZI ULIOFANYIKA KANISA LA AKUZAM IPS
Msanii wa Bongo Movie TINO akikabidhiwa mic na MC katika uzinduzi huko IPS.
UZINDUZI WA SARAH MVUNGI IPS POSTA MPYA.
Madam Ruti Mwamfupe akiwa na Sarah Mvungi,akijiandaa kuingia ukumbini kwa ajili ya kuizindua albam yake.
Thursday, November 8, 2012
THE RAIN HAS CAME.
AJALI YATOKEA MKOA WA PWANI KIBAHA.
Kijana anayekadiliwa kuwa na umri wa miaka 15 na zaidi amegonga na gari katikati ya barabara na anasadikiwa kuwa hali yake ni mbaya sana. na gari lililomgonga lakimbia.mama wa mtoto alia sana huku nguo zikimvuka.
ajali hii imetokea muda wa saa12:00 mchana.
Wednesday, November 7, 2012
THE FAMINE IS OVER.
Huu ni mfano ambao ulitolewa na muhubili DR LIVINGSTONE kuwa ELIYA aliweka kichwa chake katikati ya miguu na akaomba.Hivyo tunatakiwa kufanya vitu ambavyo sio vyakawaida.
1WAFALME 18:41-45
BONGO YAGEUKA CHINA.
This youngman shows wonders by walking on the wire.this event happened at Lindi &Msimbazi street Kariakoo.
Madam Ruti Mwamfupe akiwa na Prisca Mwalugaja katikati na kulia ni mke wa Bishop Edga Mwamfupe.
Madam Ruti Mwamfupe,the Tanzania Gospel Musician,akiwa katika pooooz.
UZINDUZI WA ALBAM JANA IMEPITA
Madam Ruti Mwamfupe akiwa na rafiki yake wa mbele yake,wakimwaga mwaga ukumbini kwenye sherehe ya harusi ukumbi wa Water front.
Huduma ya uchungaji ikiwemo ndani yako, huwezi penda kuona mtu anapungukiwa na kitu.
Madam Ruti akiwa na mdau wa albam yake ya Jana imepita,ukumbini wote wafurahi baada ya kuonana humo.
Tuesday, November 6, 2012
REVEALED TO MAKE A DIFFERENCE.
Tumeokolewa sio kwa hasara, bali kufanya utofauti katika ulimwengu huu.
Watu wengi wamekua wakijiona kuwa wao hawafai katika jamii yao lakini kama umeokolewa na Damu ya YESU KRISTO nilazima ulete utofauti.
Kama uko Rohoni kokote utakakokanyaga nilazima ijulikane kuwa hapa kuna mtu wa tofauti ameingia.
1KINGS 18:8-19.
Monday, November 5, 2012
LOADED TO BE UNDER COVER
Sisi ni washindi,na hata kama adui anaweza kujaribu kukuficha hata weza sisi niwashindi.na kila mtu ana karama 88 alizowekewa na MUNGU.
1KINGS 18:1-6.
NI MAHUBILI YALIYOTOLEWA NA P DR LIVING STONE KUTOKA UGANDA.
Subscribe to:
Posts (Atom)