Wednesday, October 17, 2012
USAFIRI WA MBAGARA
Wakazi wa Mbagara wakigombania roly la mchanga kutoka kariakoo kuelekea mbagara.je hii itaisha lini?
Sunday, October 14, 2012
EVANGELISM & MISSION MINISTRIES.
Imetupasa kumgusa Bwana katika maisha yetu.
Na imetupasa kuugusa moto na wala sio moshi,na mazingira yanayo mgusa MUNGU.pale mahali ambapo msaada,mahali ambapo umekataliwa.
ISAYA 55:1
MARKO 5:25-36.
MATENDO 7:50
Saturday, October 13, 2012
UZINDUZI!! UZINDUZI!!--USIKOSE
Tunakukaribisha
katika uzinduzi wa albam yetu iitwayo JANA IMEPITA katika mfumo wa
AUDIO CD,VCD&DVD katika kanisa la KKKT Kariakoo.saa 7.00 mchana hadi
saa 12.00 jion kufika kwako ndio mafanikio yetu Amina Hakuna kiingilio
Friday, October 12, 2012
"PENUEL,NIMEONANA NA MUNGU USO KWA USO NA NAFSI YANGU IMEOKOKA.
MWANZO 32:24-31, ISAYA 9:8,
Yakobo alipambana na Maraika na Maraika akamuuliza ,jina lako nani akasema jina langu Yakobo,Maraika akamwambia tangu leo utaitwa Israel.
Ndugu zangu napaswa kusema neno litamujia anaelia litamuendea akicheka,zidi kubarikiwa na mistari ya hapo juu MUNGU akubariki.
JICHO LA JANA NA LA JUZI.
MWANZO 31:1-16
Basi Yakobo akasikia maneno ya wana wa Labani,wakisema,Yakobo amechukua mali yote ya baba yetu;na kwa mali ya baba yetu amepata fahali hii yote, Yakobo akaona uso wa Labani,ya kuwa haukumtazama vema kama jana na juzi.Bwana akamwambia Yakobo,urudi mpaka nchi ya baba zako,nami nitakua pamoja nawe.
Thursday, October 11, 2012
TAFSIRI YA BARAKA NI KUZIDI NA KUONGEZEKA.
MATHAYO 14:13-21.
Pasipo baraka za JEHOVA unaweza kufanya kazi kwa bidii,ukaamka mapema na ukachelewa kulala,ukala kwa shida lakini hakuna kuongezeka na unaweza ukajibana sana ukabana matumizi sana na usipate mafanikio yoyote.
Lakini MUNGU ni JEHOVA mwenye kuongeza.Baraka zinatoka kwa YESU ,zinapitia kwa Mchungaji wako kisha zinakuja kwako mfano nipale YESU alipoibariki mikate na samaki,alipomaliza aliwapa Wanafunzi wake ili wawape makutano.AMINA zaidi unaweza kukutana na masomo haya kupitia kanisa la KKKT Kariakoo.saa 12.00 asubuhi.
Friday, October 5, 2012
IBADA YA MORNING GLORY KKKT KARIAKOO NA ELIONA KIMARO.
MAHUBILI YALIYO BEBA UJUMBE UITWAO",MUUJIZAWA BARAKA"
Milia,Madoadoa naMarakaraka"Ujumbe huu pastor Kimaro aliendelea kusema kuwa jua marafiki unaoshilikiana nao katika Kazi,ofisini,Huduma,nk kwani wengine wamebeba muujiza wako,lakini pia wengine sio marafiki wakushirikiana nao kwani wamekua nivyanzo vya vilio katika maisha yako
tusome katika kitabu kitakatifu na tujue jinsi gani marafiki wa ukweli wakoje MWANZO 30:25-43.
ZAIDI YA HAYA YOTE TUKUTANE JUMA TATU KUJUA JUU YA MARAKARAKA,MADOADOA ,MILIA
Thursday, October 4, 2012
HUU NI MOTO MKALI.
MAGEREZA
Wednesday, October 3, 2012
NADHIRI TATU ZA YAKOBO
Kunamawasiliano kati ya MUNGU na nadhiri mara nyingi wakati wa shida watu huweka nadhiri ,lakini shida zao zinapokwisha wanasahau kutimiza au kuondoa nadhiri zao.YAKOBO aliweka nadhiri mbele za MUNGU akasema BWANA ukinifanikisha utakua MUNGU wangu ndio maana hata leo tunasema MUNGU wa YAKOBO kwakua aliweka nadhiri Nadhiri inaleta majibu
Subscribe to:
Posts (Atom)