Muimbaji wakimataifa MADAM RUTI MWAMFUPE akifanya huduma katika semina iliyofanyika maeneo ya viwanja vya Ukonga,Semina ya wazi iliyo andaliwa na pst John Saidi
Watu wakiendelea kumshangilia MUNGU kwa wimbo JANA IMEPITA wake Madam Ruti, hakika jina la Bwana libarikiwe
No comments:
Post a Comment