MATHAYO 14:13-21.
Pasipo baraka za JEHOVA unaweza kufanya kazi kwa bidii,ukaamka mapema na ukachelewa kulala,ukala kwa shida lakini hakuna kuongezeka na unaweza ukajibana sana ukabana matumizi sana na usipate mafanikio yoyote.
Lakini MUNGU ni JEHOVA mwenye kuongeza.Baraka zinatoka kwa YESU ,zinapitia kwa Mchungaji wako kisha zinakuja kwako mfano nipale YESU alipoibariki mikate na samaki,alipomaliza aliwapa Wanafunzi wake ili wawape makutano.AMINA zaidi unaweza kukutana na masomo haya kupitia kanisa la KKKT Kariakoo.saa 12.00 asubuhi.
No comments:
Post a Comment