Kunamawasiliano kati ya MUNGU na nadhiri mara nyingi wakati wa shida watu huweka nadhiri ,lakini shida zao zinapokwisha wanasahau kutimiza au kuondoa nadhiri zao.YAKOBO aliweka nadhiri mbele za MUNGU akasema BWANA ukinifanikisha utakua MUNGU wangu ndio maana hata leo tunasema MUNGU wa YAKOBO kwakua aliweka nadhiri Nadhiri inaleta majibu
No comments:
Post a Comment