SNOW ANIMATION

MADAM RUTH Header

RM STAR ADVERT

RM STAR Horizontal Banner

MATANGAZO

MATANGAZO

Sunday, September 30, 2012

NGUVU YA NADHIRI KATIKA MAISHA YAKO.

Ibada ya kumshukuru MUNGU kila asubuhi saa 12.00am hadi saa 7.00 am katika kanisa la KKKT Kariakoo.Huduma hii inaongozwa na MCH. ELIONA KIMARO.Alihubili kuhusu wanandoa wengi hawafanikiwa nikwasababu ya nadhiri walizoziweka wakati wa kufunga ndoa na hawaziishi nadhiri hizo,hivyo kuwapelekea kuishi katika hali ambayo niyakutangatanga,aliendelea kuwatia moyo washarika kusema kua ,nadhiri ni nzuri sana katika maisha yetu,na unawewza kuwa katika hali ngumu lakini ukiweka nadhiri yako mbele za MUNGU kua siku utakaponipa labda mtoto,kazi,nyumba nk nitakutolea shukurani kubwa, lakini kumbuka uwekapo nadhiri hiyo usikawie kuiondoa mfano mzuri ni ANANIA na mkewe SAFIRA jinsi walivyoweka nadhiri zao wakashindwa kuziondoa kama walivyokua wamepanga na wote waliangamizwa.  

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...