SNOW ANIMATION

MADAM RUTH Header

RM STAR ADVERT

RM STAR Horizontal Banner

MATANGAZO

MATANGAZO

Sunday, September 23, 2012

KUTEMBEA KATIKA IMANI, UPENDO,NA MSIMAMO.

Neno lililotolewa na mtumishi wa MUNGU Madam Ruti Mwamfupekatika Kanisa la MESSIAH lililoko maeneo ya viwanja vya sifa mtoni kwa azizi ally na apostal JOHN KAZIDI


KUISHI MAISHA YA IMANI
 Tumeshauliwa kuishi maisha ya utakatifu na Imani kama Shadrack,Meshack na Abednego,walivyo ambiwa waisujudie sanamu ya mfalme Nebkadneza lakini hawakuisujudia.iliamlika watupwe katika tanulu la moto lakini neno linasema walitupwa watatu wakaonekana wanne na yule wa nne alikua ni mwana wa MunguYESU KRISTO.DANIEL 3.24,27-28.

Jua step ya kutembea katika majaribu,na majaribu mpendwa ni somo lalazima.


No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...