SNOW ANIMATION

MADAM RUTH Header

RM STAR ADVERT

RM STAR Horizontal Banner

MATANGAZO

MATANGAZO

Friday, September 21, 2012

RUMAFRICA YAMTUPIA SWALI MWIMBAJI MAARUFU SANA TANZANIA CHRISS ANAYEIMBA NA MADAM RUTH.


Rumafrica ilibahatika kuwakuta Madam Ruth na Chriss katika duka lao lililoko kariakoo linalojishughulisha na uuzaji na vifaa vya "Electronics". Madam Ruth alimshukuru Mungu kwa kumpeleka na kumrudisha salama katika safari yake ya Dubai ambako alienda kufunga mali. Rumafrica anawaomba wateja wa RM Star kufika dukani na kuona mzigo mpya ulioingia kutoka Dubai.

Kuna mambo mengi Rumafrica ilikuwa ikifanya katika ofisi ya RM Star, lakini hakuijinyima kutupia swali kwa Chriss ili atusaidie kutujuza. Swali letu lilikuwa, "Kwanini makanisani watu wanaokoka siku za jumapili au katika ibada za kawaida wanakuwa wengi, lakini kanisa haliongezeki, linabakia palepale?" Mtumishi Chriss alikuwa na haya ya kusema:

 Mtumishi wa Mungu na mjasiliamali, Madam Ruth akiwa dukani kwake Kariakoo
 Mtumishi wa Mungu Chriss (kulia) na blogger Rulea Sanga



Ukitaka kumuungisha Madam Ruth ambaye yuko Kariakoo, wasiliana kwa simu hii:
+255 715 711919 | +255 653 999931 | +255 713 033333
Blogu: www.madamruti.blogspot.com

Pia kama ungependa kutembelia blogu ya RUMA AFRICA ni
www.rumaafrica.blogspot.com


2 comments:

  1. Mungu ni mwema sana katika yote..Ipo siku nitafika hapo dukani kwenu

    ReplyDelete

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...