Nadhiri imebeba maisha ya mtu katika dunia hii,katika maisha ya kawaida huwezi kupata nafasi yoyote hadi uapishwe,Rais wa nchi haiingii madarakani hadi aapishwe kwanza,wanandoa hata kama mnapendana vipi mkiingia madhabahuni nilazima mpeane nadhiri ndipo maisha mengine yaendelee.Nadhiri ni nguvu ya pekee iletayo fursa katika maisha ya wanandoa.WAAMUZI 11:29-40. 1SAMWELI 1:10-11.Ndugu zangu nataka nikutie moyo pale unapopata shida katika maisha yako weka nadhiri mbele za MUNGU,na unapoweka nadhiri hiyo,usikawie kuindoa .
No comments:
Post a Comment