Njoni tusemezane asema Bwana wa Majeshi,leteni hoja zenye nguvu.
Mteule wa MUNGU yatosha kusema watu wamegundua kua anayestahili kuabudiwa ni yeye pekee.nashangaa kukuona ukiwa bado uko nyuma hutaki kutenda yampasayo MUNGU,badilika leo uungane na watakatifu hawa wanao mlilia JEVOVA kila asubuhi saa 12.00 alfajili kanisa la KKKT Kariakoo.ni ndani ya ibada ya Morning Glory iendeshwayo na Pastor ELIONA KIMARO.
Waimbaji wa timu ya kusifu na kuabudu ibada ya morning glory kanisa la KKKT Kariakoo.mbele na bass guiter ni ndugu Donick Mwakatobe,nyuma kushoto ni ndugu Nyamoga,katikati ni Madam Ruti Mwamfupe,na pembeni yake kulia ni Angel kwa pamoja wakimsifu JEHOVA.
No comments:
Post a Comment