Ibada ya kumshukuru MUNGU kila asubuhi saa 12.00am hadi saa 7.00 am katika kanisa la KKKT Kariakoo.Huduma hii inaongozwa na MCH. ELIONA KIMARO.Alihubili kuhusu wanandoa wengi hawafanikiwa nikwasababu ya nadhiri walizoziweka wakati wa kufunga ndoa na hawaziishi nadhiri hizo,hivyo kuwapelekea kuishi katika hali ambayo niyakutangatanga,aliendelea kuwatia moyo washarika kusema kua ,nadhiri ni nzuri sana katika maisha yetu,na unawewza kuwa katika hali ngumu lakini ukiweka nadhiri yako mbele za MUNGU kua siku utakaponipa labda mtoto,kazi,nyumba nk nitakutolea shukurani kubwa, lakini kumbuka uwekapo nadhiri hiyo usikawie kuiondoa mfano mzuri ni ANANIA na mkewe SAFIRA jinsi walivyoweka nadhiri zao wakashindwa kuziondoa kama walivyokua wamepanga na wote waliangamizwa.
Sunday, September 30, 2012
NGUVU YA NADHIRI KATIKA MAISHA YAKO.
Nadhiri imebeba maisha ya mtu katika dunia hii,katika maisha ya kawaida huwezi kupata nafasi yoyote hadi uapishwe,Rais wa nchi haiingii madarakani hadi aapishwe kwanza,wanandoa hata kama mnapendana vipi mkiingia madhabahuni nilazima mpeane nadhiri ndipo maisha mengine yaendelee.Nadhiri ni nguvu ya pekee iletayo fursa katika maisha ya wanandoa.WAAMUZI 11:29-40. 1SAMWELI 1:10-11.Ndugu zangu nataka nikutie moyo pale unapopata shida katika maisha yako weka nadhiri mbele za MUNGU,na unapoweka nadhiri hiyo,usikawie kuindoa .
Friday, September 28, 2012
Tuesday, September 25, 2012
TANGAZO LA MSIBA
KWAYA YA UINJILISTI KANISA LA KKKT KARIAKOO,WANASIKITIKA KUTANGAZA MSIBA WA MUIMBAJI WAO BI AGNES YAMO,ULIOTOKEA KATIKTA HOSPITAL YA RUGALO ASUBUHI YA LEO SAA 8.30.
AGNES ALIKUA NI MFANYAKAZI KATIKA KAMPUNI YA PRE-MEDIA NA MWANDISHI WA GAZETI LA TANZANIA DAIMA, ALIZALIWA MWAKA 1978,
Sunday, September 23, 2012
IBADA YA MORNING GLORY KKKT KARIAKOO.
BWANA NI NGUVU YA WATU WAKE.
Ibada inayoongozwa na MCH ELIONA KIMARO,wa kanisa la KKKT alihubili kuhusu Nguvu ya MUNGU kwa watu wake,alisoma kutoka katika kitabu cha ZABURI 28.7-8
ZABURI 46.1-11
Ibada inayoongozwa na MCH ELIONA KIMARO,wa kanisa la KKKT alihubili kuhusu Nguvu ya MUNGU kwa watu wake,alisoma kutoka katika kitabu cha ZABURI 28.7-8
ZABURI 46.1-11
KUTEMBEA KATIKA IMANI, UPENDO,NA MSIMAMO.
Neno lililotolewa na mtumishi wa MUNGU Madam Ruti Mwamfupekatika Kanisa la MESSIAH lililoko maeneo ya viwanja vya sifa mtoni kwa azizi ally na apostal JOHN KAZIDI
KUISHI MAISHA YA IMANI
Tumeshauliwa kuishi maisha ya utakatifu na Imani kama
Shadrack,Meshack na Abednego,walivyo ambiwa waisujudie sanamu ya mfalme
Nebkadneza lakini hawakuisujudia.iliamlika watupwe katika tanulu la moto
lakini neno linasema walitupwa watatu wakaonekana wanne na yule wa nne
alikua ni mwana wa MunguYESU KRISTO.DANIEL 3.24,27-28.
Jua step ya kutembea katika majaribu,na majaribu mpendwa ni somo lalazima.
Saturday, September 22, 2012
MAHAFALI YA GWANTA KUHITIMU DARASA LA SABA
Family ya OBEL BENSON MWAMFUPE wakiwa katika sherehe ya mtoto wao Gwanta ya kuhitimu darasa la saba tar 21/9/2012 jijin DAR.
Madam Ruti muimbaji waa nyimbo za Injili sambamba na kaka ake Hamfrey Mwamfupe.
.
Friday, September 21, 2012
SASA DSM YAPENDEZA
Baada ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kukaa nakupanga juu ya kutatua majanga ya foleni hususan kwenye maeneo kadha wa kdha,na miongoni mwa mikakati hiyo ilikua ni kujenga barabara za magari yaendayo kasi,hilo limeshaanza kutekelezwa,
Hapa tunaona Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania akikagua mradi wa Daraja la KIGAMBONI,hizi nazo nijtihada.
Hapa tunaona Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania akikagua mradi wa Daraja la KIGAMBONI,hizi nazo nijtihada.
HABARI ZA KIMATAIFA
IBADA YA MORNING GLORY KKKT KARIAKOO
Njoni tusemezane asema Bwana wa Majeshi,leteni hoja zenye nguvu.
Mteule wa MUNGU yatosha kusema watu wamegundua kua anayestahili kuabudiwa ni yeye pekee.nashangaa kukuona ukiwa bado uko nyuma hutaki kutenda yampasayo MUNGU,badilika leo uungane na watakatifu hawa wanao mlilia JEVOVA kila asubuhi saa 12.00 alfajili kanisa la KKKT Kariakoo.ni ndani ya ibada ya Morning Glory iendeshwayo na Pastor ELIONA KIMARO.
Waimbaji wa timu ya kusifu na kuabudu ibada ya morning glory kanisa la KKKT Kariakoo.mbele na bass guiter ni ndugu Donick Mwakatobe,nyuma kushoto ni ndugu Nyamoga,katikati ni Madam Ruti Mwamfupe,na pembeni yake kulia ni Angel kwa pamoja wakimsifu JEHOVA.
IBADA YA MORNING GLORY KKKT KARIAKOO
Mamia ya watu katika kanisa la KKKT Kariakoo asubuhi ya kuanzia saa 12.00 alfajil wakimshukuru MUNGU,kwa wema na fadhiri zake kwa kuiona siku nyingine tena.
ACHA MUNGU ATUKUZWE
Hii ilikua sio kawaida,watu walifurahi na kuburudika pale ambapo muimbaji wa kimataifa MADAM RUTI MWAMFUPE na kundi zima la AMENIBAMBA YESU,walipo wahudumia kiroho kwa njia ya nyimbo wapenzi wa muziki wa INJILI TANZANIA,walisimama pale walipopioga wimbo wao wa pili uitwao JANA IMEPITA LEO NI SIKU MPYA.
Tutarajie nini siku ya Jumapili ya tare 28/10/2012?
KARIBU KWENYE UZINDUZI WA ALBAM YAKE MADAM RUTI NA CHRISS,IITWAYO JANA IMEPITA.
ITAZINDULIWA KATIKA KANISA LA K. K. K. T. KARIAKOO,
TAREHE 28/10/2012 SAA SABA MCHANA(7.OO)-(11.OO)JIONI MUNGU AKUBARIKI.
Tutarajie nini siku ya Jumapili ya tare 28/10/2012?
KARIBU KWENYE UZINDUZI WA ALBAM YAKE MADAM RUTI NA CHRISS,IITWAYO JANA IMEPITA.
ITAZINDULIWA KATIKA KANISA LA K. K. K. T. KARIAKOO,
TAREHE 28/10/2012 SAA SABA MCHANA(7.OO)-(11.OO)JIONI MUNGU AKUBARIKI.
RUMAFRICA YAMTUPIA SWALI MWIMBAJI MAARUFU SANA TANZANIA CHRISS ANAYEIMBA NA MADAM RUTH.
Rumafrica ilibahatika kuwakuta Madam Ruth na Chriss katika duka lao
lililoko kariakoo linalojishughulisha na uuzaji na vifaa vya
"Electronics". Madam Ruth alimshukuru Mungu kwa kumpeleka na kumrudisha
salama katika safari yake ya Dubai ambako alienda kufunga mali.
Rumafrica anawaomba wateja wa RM Star kufika dukani na kuona mzigo mpya
ulioingia kutoka Dubai.
Kuna mambo mengi Rumafrica ilikuwa ikifanya katika ofisi ya RM Star,
lakini hakuijinyima kutupia swali kwa Chriss ili atusaidie kutujuza.
Swali letu lilikuwa, "Kwanini makanisani watu wanaokoka siku za jumapili
au katika ibada za kawaida wanakuwa wengi, lakini kanisa haliongezeki,
linabakia palepale?" Mtumishi Chriss alikuwa na haya ya kusema:
Mtumishi wa Mungu na mjasiliamali, Madam Ruth akiwa dukani kwake Kariakoo
Mtumishi wa Mungu Chriss (kulia) na blogger Rulea Sanga
Ukitaka kumuungisha Madam Ruth ambaye yuko Kariakoo, wasiliana kwa simu hii:
+255 715 711919 | +255 653 999931 | +255 713 033333
Blogu: www.madamruti.blogspot.com
Pia kama ungependa kutembelia blogu ya RUMA AFRICA ni
www.rumaafrica.blogspot.com
Pia kama ungependa kutembelia blogu ya RUMA AFRICA ni
www.rumaafrica.blogspot.com
Wednesday, September 19, 2012
JIPATIE VIFAA VYA UMEME NA RADIO KATIKA DUKA LETU LA RM STAR KARIAKOO
Rulea (kushoto) nikiwa na Chriss wa "Amenibamba Yesu"
Bother akiweka mambo safi kuhakikisha kazi inasonga katika jina la Yesu.
Muziki wa nguvu
TV za kufa mtu
Vifaa mbalimbali
WAO MAMA
MADAM RUTI MWAMFUPE,muimbaji wa nyimbo za injili nchini TANZANIA,akilakiana na mwanae kipenzi GOODLUCK, eneo la AIRPORT baada ya kushuka kwenye ndege akitokea nchini DUBAI kwa ajili ya kujiandaa na UZINDUZI WA ALBUM YAKE IENDAYO KWA JINA LA JANA IMEPITA.Utakaofanyika Tar 28/10/2012 katika kanisa la K K K T Kariakoo.
Tuesday, September 18, 2012
GOSPEL CHOICE AWARDS
Tuzo za kumi na nane, zitatolewa septemba 24, huko Georgia World Congress Center Atlanta,watakao performers for the show are Canton Jones, Sera Hill (NBC's The Voice Season 2) and Corey Webb (Season 1 of BET's Sunday Best) na Elder William Murphy. Pia kutakuwa na Red Carpet Pre-Show, Pastors Reception na Dinner alafu tuzo kutolewa!
Monday, September 17, 2012
UMEIONA HII SASA IKO SOKONI.
The album Yesterday has passed,This is a new day of MADAM RUTI MWAMFUP its available in audio CD, VCD&DCD.take your copy now.THANKS WE LOVE YOU.
Sunday, September 9, 2012
KONGAMANO DIOMOND JUBLEE
Saturday, September 8, 2012
AMENIBAMBA FAMILY KUTUA BAGAMOYO
Kikosi cha music wa nyimbo za Injil Amenibamba Family chini ya muimbaji wa kimataifa MADAM RUTI ambao wanatamba na nyimbo zao kama vile JANA IMEPITA NA AMENIBAMBA YESU,leo watakua Bagamoyo kwa ajili ya mkutano wa INJILI.
TANZANIA TUNAKWENDA WAPI?
Dada huyu adhalilika baada ya kuvaa nguo zinazomuonyesha nyeti zake katikati ya mji Kariakoo, watu wakasirika sana baada ya kumuona hivyo,wasema kwani wachoshwa na vitendo kama hivi vinavyo fanywa na baadhi ya wadada eti waiga ULAYA.wampigia kelele hadi kupigwa,POLICE wamsaidia.
Friday, September 7, 2012
MAANDAMANO.
Hivi ndivyo ilivyokua pale WIZARA YA MAMBO YA NDANI JIJINI DSM na wajaidina waukweli walisema lolote na liwe ila wenzao watolewe.
MAANDAMANO YA WAISLAM KUTAKA WALIOKAMATWA WAKATI WA SENSA WAACHIWE.
DOUGLAS PIUS DP wa Praise Power Radio akifanya mahojiano na baadhi ya waandamanaji wa Dini ya Kiislam, maeneo ya POSTA JIJINI DSM walioandamana hadi wizara ya mambo ya ndani,kuonana na waziri wa mambo ya ndani, kuishinikiza Serikali iwaachie Waislam wenzao,waliokamatwa kukataa kujiandikisha wakati wa zoezi la SENSA YA TAIFA.
Monday, September 3, 2012
TAMASHA LA PASCAL KASIAN
Madam Ruti kushoto,katikati Madam Ritha kulia Sifa John wakiwa katika Tamasha la muimbaji Pascal Kassian,uwanja wa SIFA MANZESE.
Sunday, September 2, 2012
MAHUBILI KANISA LA MESSIAH TAWI LA MKURANGA DSM.
MADAM RUTI AKIWA NA AMENIBAMBA FAMILY,BAADA YA MAHUBILI, WAKITOA SADAKA YA MICROPHONE MADHABAHUNI, KATIKA KANISA LA MESSIAH PENTEKOSTE TAWI LA MKURANGA DSM.
Subscribe to:
Posts (Atom)